Matangazo yanakaribishwa katika blog hii,piga simu no 0753 239 687 Email-livinusferuzi@yahoo.com

Tuesday, January 8, 2013

MNYAUKO UNAVYOTISHIA KUTOWEKA KWA ZAO LA NDIZI KAGERA





Jinsi ambavyo ugonjwa ya migomba mnyauko bacteri ulivyoathiri wakulima wilayani Muleba hii ni sehemu ndogo ya migomba ambayo tayari imeshambuliwa na ugonjwa huo, athari zake zimekuwa kubwa miongoni mwa wakulima wa zao hilo.

mgomba unavyoonekana shambani ukiwa unaanza kushambuliwa, shamba hili ni mali ya mzee Laurent Rwiza

No comments:

Post a Comment