Matangazo yanakaribishwa katika blog hii,piga simu no 0753 239 687 Email-livinusferuzi@yahoo.com

Tuesday, April 30, 2013

BIASHARA SEHEMU YOYOTE UNAFANYA

Kila kukicha wafanyabiashara wanaibuka na mbinu mpya za kufanikisha biashara zao, Kijana anayefanya biashara ya kuuza bidhaa mbalimbali akizunguka na baiskeli yenye bidhaa hizo katika mitaa mbalimbali ya kata ya Kitendaguro nje kidogo ya mji wa Bukoba akitafuta wateja

No comments:

Post a Comment