Matangazo yanakaribishwa katika blog hii,piga simu no 0753 239 687 Email-livinusferuzi@yahoo.com

Monday, April 29, 2013

HALI YA USAFIRI KATI YA MULEBA NA BUKOBA

Usafiri wa magari madogo hiace ulivyo kati ya muleba na bukoba


Usafiri mgumu kati ya wilaya ya Muleba na Bukoba mkoani Kagera pamoja na elimu ya usalama barabarani kutolewa mara kwa mara kwa wananchi na madereva kwa ujumla, bado abiria wamekuwa wakisafirishwa kama mizigo kutokana na magari kujaa sana na hivyo kupelekea  abiria kusafiri wakiwa wamesimama kutoka Muleba hadi Bukoba, ingawa askari wa usalama wanakuwa kazini.

No comments:

Post a Comment