Matangazo yanakaribishwa katika blog hii,piga simu no 0753 239 687 Email-livinusferuzi@yahoo.com

Friday, April 26, 2013

NJAA HAIBAGUI INAUMA KWELI KWELI





Mshikaji mjini Bukoba akiwa amepanda juu ya mpapai kwa ajili ya kuangua mapapai ili kutuliza njaa, hata hivyo mshikaji huyo alionekana kuvaa miwani hali ambayo inaweza kuhatari kwa usalama wake kwani angeweza kudondoka.


No comments:

Post a Comment