Matangazo yanakaribishwa katika blog hii,piga simu no 0753 239 687 Email-livinusferuzi@yahoo.com

Thursday, August 2, 2012

NBC BUKOBA YANUSURIKA KUUNGUA MOTO

Ni kwamba moto uliwaka kwe baadhi ya majengo ya ndani ya benki hiyo na kuzua wasiwasi kwa wakazi wa mji wa Bukoba.

Muda mfupi baada ya gari la zimamoto Bukoba kuzima moto uliozuka ndani ya benki ya owaka pasipokujulikana chanzo chake ndani ya Gate la Bank ya NBC , nimefika na kukuta bado watu wanataamaki kuhusu kilichokuwa kimetokea

No comments:

Post a Comment