Matangazo yanakaribishwa katika blog hii,piga simu no 0753 239 687 Email-livinusferuzi@yahoo.com

Saturday, December 8, 2012

SIKU YA KUPINGA UKATILI NA UNYANYASAJI WA KIJINSIA MKOANI KAGERA

 Askari wakiandamana pamoja na wadau wengine kupinga vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia.
 Kamanda wa jeshi la polisi mkoani Kagera, Philip Kalangi, akimpokea katibu tawala wa mkoa wa Kagera Nassor Mnambila alipowasili kwenye uwanja wa uhuru kuhudhuria maadhimisho ya kupinga vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia mkoani Kagera.
 Ujumbe uliokuwa ukitolewa na waandamanaji.

No comments:

Post a Comment