Matangazo yanakaribishwa katika blog hii,piga simu no 0753 239 687 Email-livinusferuzi@yahoo.com

Saturday, May 19, 2012

DUU! angalia nyumba za kulala wageni ulishafika kisiwani kuona maisha yalivyo?

Ni sehemu ya nyumba za kupanga na kulala wageni katika kisiwa cha Bumbire mwalo wa Mchangani, nyumba hizi upangishwa kati ya shilingi 10,000 hadi 15,000 kwa mwezi, ukiingia kwa ndani duu!
Ujenzi wa nyumba za kuishi unaendelea na kama zinavyoonekana tayari nyumba mbili zimeishaezekwa kwa kutumia majanvi na kalatasi za mahema

No comments:

Post a Comment