Matangazo yanakaribishwa katika blog hii,piga simu no 0753 239 687 Email-livinusferuzi@yahoo.com

Sunday, May 13, 2012

Ni mkuu wa mkoa wa Kagera Kanali Fabain Massawe akiwa na Bw. Novatus Kashaga wakati akikagua na kuhimiza usafi kwenye mitaa mbalimbali ya mjini Bukoba ikiwa ndio siku maalumu iliyopangwa na manispaa kwa kila wananchi kusafisha eneo lake siku ya alhamisi inajulikana kwa jina maarufu kama Massawe day.
Mkuu wa mkoa wa Kagera Kanali Fabain Massawe akiwa na Bw. Novatus Kashaga
Add caption

No comments:

Post a Comment