Matangazo yanakaribishwa katika blog hii,piga simu no 0753 239 687 Email-livinusferuzi@yahoo.com

Saturday, October 13, 2012

MAPOKEZI YA PROFESA IBRAHIM LIPUMBA MWENYEKITI WA CUF TAIFA

Mwenyekiti wa CUF taifa professa Ibrahimu Lipumba akisalimia wananchi katika mitaa mbalimbali ya mjini Bukoba baada ya kuwasili mkoani Kagera na kupokelewa na wafuasi wa chama katika uwanja wa ndege



Baadhi ya wafuasi wa CUF wakiwa kwenye maandamano baada ya kumpokea mwenyekiti wa CUF taifa profesa Ibrahimu Lipumba

No comments:

Post a Comment