Matangazo yanakaribishwa katika blog hii,piga simu no 0753 239 687 Email-livinusferuzi@yahoo.com

Saturday, October 13, 2012

MARIE STOPES KUANZA KUTOA HUDUMA ZAKE MKOANI KAGERA

mkurugenzi mkazi wa shirika la Marie Stopes Tanzania Narelle Magee akizungumza na wananchi wakati wa kuzindua huduma zao zitakazoanza kutolewa mkoani Kagera

mkurugenzi mkazi wa shirika la Marie Stopes Tanzania linalojishughulikisha na huduma za uzazi wa mpango  Narelle Magee akisaini mkataba kati yao na wilaya ya Muleba wa kuanza kutoa huduma zao kwa niaba ya wilaya zote za mkoa wa Kagera.

meya wa manispaa ya Bukoba Bw. Anatory Amani ambaye alikwakilisha  mkuu wa mkoa wa Kagera akisalimia na mkurugenzi huyo.

No comments:

Post a Comment