Matangazo yanakaribishwa katika blog hii,piga simu no 0753 239 687 Email-livinusferuzi@yahoo.com

Monday, October 8, 2012

MAZISHI YA RUGAMBYA KATIKA PICHAMasalia ya mwili wa karidinali Rugambya ukishushwa kutoka kwenye gari la kifahali ililoubeba wakati wa kuhuhamisha kutoka kashizo kwenda kanisa kuu jimbo la Bukoba

Mwili ukibebwa kuingizwa kanisani tayari kulazwa kwenye nyumba yake ya milele

Maaskofu wakiingia kanisani kuu jimbo la Bukoba baada ya kuwasili kutoka kashozi

sehemu ya umati wa watu waliojitokeza kushuhudia masalia ya mwili ya hayati kardinali Rugambwa

No comments:

Post a Comment