Matangazo yanakaribishwa katika blog hii,piga simu no 0753 239 687 Email-livinusferuzi@yahoo.com

Monday, November 26, 2012

Dkt. SLAA AFUNIKA KARAGWE AVUNA WANANCHAMA WAPYA 1,836




Baadhi wa wakazi wa mji wa kayanga wilaya ya Karagwe mkoa wa Kagara wakimsikiliza katibu mkuu wa chadema Dkt. Wilbroad Slaa wakati wa mkutano wa hadhara, umati mkubwa wa wananchi walijitokeza kusikiliza katibu mkuu huyo



Ni kadi za CCM zilizorejeshwa wakati wa mkutano huo wanachama wapya 1,836 walijiunga na Chadema katika mkutano huo.



No comments:

Post a Comment