Matangazo yanakaribishwa katika blog hii,piga simu no 0753 239 687 Email-livinusferuzi@yahoo.com

Saturday, November 3, 2012

Mamlaka Ya Mapato Kagera Yazindua Wiki Ya Mlipa KodiBaadhi ya maoofisa wa mamlaka ya mapato mkoani Kagera wakisikiliza hotuba ya ufunguzi iliyokuwa inatolewa  na mkuu wa wilaya ya Bukoba Bi Ziporah Pangani.

Mmoja wa maofisa wa TRA

Mkuu wa wilaya ya Bukoba Bi Ziporah Rion Pangani akitoa hotuba ya ufunguzi wa wiki ya mlipa kodi ulifanyika kwenye ukumbi wa chama cha msalaba mwekundu.

Mameneja wa TRA, kulia ni Bw. Mgimba na kushoto ni Magere.

No comments:

Post a Comment