Matangazo yanakaribishwa katika blog hii,piga simu no 0753 239 687 Email-livinusferuzi@yahoo.com

Sunday, September 23, 2012

HECHE NA M4C KATIKA NGOME ZA CCM KAGERA

Mwenyekiti wa baraza la vijana CHADEMA taifa John Heche akizungumza na wafuasi cha CHADEMA katika kata ya Kagoma wilayani Muleba, Ambapo tangu jumamosi amepiga  kambi wilayani muleba na jana alikuwa katika ngome ya Mwijage mbunge wa Muleba kasikazini mjini Kamachumu.

No comments:

Post a Comment