Matangazo yanakaribishwa katika blog hii,piga simu no 0753 239 687 Email-livinusferuzi@yahoo.com

Thursday, September 6, 2012

KARDINAL RUGAMBWA KUZIKWA UPYA

kanisa la jimbo kuu la Bukoba ambalo mwli wa marehemu Kardinari Laulean Rugambwa utapumzishwa milele 0ct0oba 6, mwaka huu, mwili huo ulikuwa umepumsishwa kwa muda kwenye maeneo ya maziko ya parokia ya Kashozi.


No comments:

Post a Comment