Matangazo yanakaribishwa katika blog hii,piga simu no 0753 239 687 Email-livinusferuzi@yahoo.com

Sunday, September 23, 2012

MAISHA YANAENDELEA !!!

Mtoto akipata mlo wake licha ya kwamba ni hapa ni barabarani na magari yanapita na kumtimulia vumbi lakini maisha yanaendelea.

Wakazi wa songambele katika wilaya mpya ya Kyerwa wakipata kiburudisho (pombe za kienyeji aina ya Lubisi) ingawa wakati wanakunywa pombe ilikuwa ni muda wa kazi

Kwa hali ya mamna hii maisha bora yatakifiwa?jamaa tayari ameshiba na wala hana wasiwasi na maisha amechonga nne ingawaje ni muda wa kazi

No comments:

Post a Comment