Karibu WanaKagera ili tuunganishe nguvu zetu kwa pamoja katika harakati za kujenga Kagera yetu.
Thursday, April 26, 2012
Bajaji zilizoridhiwa na Bunge la Tanzania ajili kubebea wanawake wajawazito
Ni pikipiki zenye magurudumu matatu maarufu kama BAJAJI ambazo zimenunuliwa na serikali kwa ajili ya kubebea wanawake wajawazito zikiwa zimerundikwa katika hospitali ya mkoa wa Kagera.
Ununuzi wa bajaji hizo kwa ajili ya akinamama wajawazito uliridhiwa na bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania,
Swali je unazionaje kwa mazingira ya vijijini zinaweza kuhimili milima na miundombinu ya vijijini?
No comments:
Post a Comment