Matangazo yanakaribishwa katika blog hii,piga simu no 0753 239 687 Email-livinusferuzi@yahoo.com

Saturday, April 28, 2012

Manispaa ya Bukoba imeshindwa kutekeleza wajibu wake?



Ni vijana wakizibua mtaro wa maji ili kuruhusu maji kupita wakati wa mvua, mtaro huu uliopo mbele ya jengo la Bohari ya mkoa wa Kagera kwa muda mrefu ulikuwa umeziba kutoka na uchafu, ambapo maji yamekuwa yakiingia kwenye baadhi ya ofisi.
Ni mtaro wa maji ukiwa umejaa uchafu licha ya mtaro huo kuonekana mchafu na sera ya usafi ya mkuu wa mkoa wa Kagera Fabian Massawe, halmashauri ya manispaa ya Bukoba haiufanyii usafi mtaro huo mpaka pale, ambapo mdau mmoja wamejitolea kusaidia kwa kuweka vijana wa kuufanyia usafi.




Hata hivyo mitaro mingi katika manispaa hiyo kwa muda mrefu imeziba na kupelekea makazi ya watu kuingiliwa na maji wakati wa mvua.



No comments:

Post a Comment