Karibu WanaKagera ili tuunganishe nguvu zetu kwa pamoja katika harakati za kujenga Kagera yetu.
Wednesday, April 11, 2012
Lulu' Michael apandishwa kizimbani leo
Msichana
Elizabeth ' Lulu' Michael leo amepandishwa kizimbani katika mahakama ya hakimu mkazi ya kisutu jijini Dar na kusomewa mashtaka ya kuhusika na kifo cha muigizaji nguli hapa nchini marehemu Steven Kanumba
No comments:
Post a Comment