Matangazo yanakaribishwa katika blog hii,piga simu no 0753 239 687 Email-livinusferuzi@yahoo.com

Tuesday, June 19, 2012

HEKA HEKA KATIKA BANDARI YA BUKOBA

Wadau wa sekta ya usafiri wa majini kutoka mikoa ya kanda ya ziwa wakiwa katika bandari ya Bukoba, ambapo walifika bandarini hapo ili kuangalia na kupata maelezo jinsi gani ya kuendesha mali ya Mv Victoria.
Vijana wakisomba ndizi na kuzipakia kwenye meli tayari kwa ajili kuzisafirisha kutoka Bukoba kwenda jijini Mwanza.
Hawa nao wanaweka ndizi kwenye magunia ikiwa ni maandalizi ya kuzisafirisha kwenda jijini Mwanza.

Siku ya safari ya meli ya MV Victoria jinsi ambavyo watu wanachakalika katika bandari ya Bukoba mara nyingi siku za mali kila mtu bandarini analuwa busy na shughuli zake, bandarini ni sehemu ambayo vijana wengi wamejiajiri ili kujikwamua kiuchumi.
Mmoja kati ya vijana ambao wamejiajiri katika bandari ya Bukoba akisoma ndizi na kuziweka ndani meli tayari kwa kusafirishwa.

No comments:

Post a Comment