Matangazo yanakaribishwa katika blog hii,piga simu no 0753 239 687 Email-livinusferuzi@yahoo.com

Wednesday, June 13, 2012

MANISPAA YA BUKOBA YASHIKA NAFASI YA TATU KITAIFA KATIKA USAFI

Meya wa manispaa ya Bukoba Dkt. Amani Anatory na mkurugenzi wa manispaa hiyo Bw. Khamis Kaputa wakionyesha cheti cha ushindi kwa madiwani baada ya kufanya vizuri katika suala la usafi na kushika nafasi ya tatu kitaifa
mkurugenzi wa manispaa hiyo Bw. Khamis Kaputa akijibu hoja na maswali yaliyowasilishwa na madiwani kwa ajili ya kupatiwa majibu
Madiwani wakifuatilia mijadala katika kikao cha baraza wa kwanza kulia ni diwani wa kata ya Bakoba kupitia CUF Bw. Felician Bigambo akipitia nyaraka mbalimbali kabla ya kutoa mchango wake.
Baadhi ya madiwani wakichangia hoja wakati wa kikao cha baraza la madiwani kilichofanyika katika ukumbi wa halmashauri ya manispaa ya Bukoba
Baadhi ya watendaji wa halmashauri ya manispaa ya Bukoba wakifuatilia kikao cha baraza la madiwani, ambapo pamoja na umuhimu wao katika kikao hicho baadhi ya watenadaji hao walionekana kufuatilia mijadala kwa mfumo tofauti kwa kuonekana kupiga usingizi hadharani.


No comments:

Post a Comment