Matangazo yanakaribishwa katika blog hii,piga simu no 0753 239 687 Email-livinusferuzi@yahoo.com

Saturday, June 2, 2012

WAJUMBE WA LVRLAC KANDA YA TANZANIA WAKUTANA MJINI BUKOBA

Mkurugenzi wa manispaa ya Bukoba ambaye pia ni Mweka hazima wa LVRLAC Kanda ya Tanzania Bw. Khamis Kaputa akiwa na meya ya manispaa hiyo Bw Anatory Amani ambaye ndio mwenyekiti wa LVRLAC kanda ya tanzania wakifuatilia hoja za wajumbe katika mkutano wa ushirikiamno huo
Mwenyekiti wa Afrika Mashariki wa umoja wa halmashauri zilizoko katika ukanda wa ziwa Victoria (LVRLAC), Mathew Lubongeja akizungumza wakati wa mkutano wa wanachama wa umoja huo kanda ya Tanzania, uliofanyika katika manispaa ya Bukoba.

 Kaimu katibu tawala wa mkoa wa Kagera Bw. Richard Kwitega akifungua mkutano huo kwa niaba ya nkuu wa mkoa wa Kagera Kanali Fabian Massawe.

Baadhi ya wajumbe wa  mkutano wa LVRLAC kanda ya Tanzania kutoka mikoa ya kanda ya ziwa

No comments:

Post a Comment