Matangazo yanakaribishwa katika blog hii,piga simu no 0753 239 687 Email-livinusferuzi@yahoo.com

Saturday, June 30, 2012

RAIS KIKWETE AFUNGUA HOSTEL STELLA MARIS BAGAMOYO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na wenyeji wake kwenye kwenye sherehe za "Holy Ghost Congregation 20th General Chapter katika hosteli ya Misheni ya Kikatoliki ya Stella Maris aliyoizindulia jana Juni 29. 2012 huko Bagamoyo, Mkoa wa Pwani
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza kama Mgeni Rasmi  kwenye sherehe za "Holy Ghost Congregation 20th General Chapter katika hosteli ya Misheni ya Kikatoliki ya Stella Maris Juni 29. 2012 huko Bagamoyo, Mkoa 
wa Pwani, picha kwa hisani ya FULL SHANGWE.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipokewa kwa shangwe alipowasili katika ukumbi wa mikutano kwenye sherehe za "Holy Ghost Congregation 20th General Chapter katika hosteli ya Misheni ya Kikatoliki ya Stella Maris leo Juni 29. 2012 huko Bagamoyo, Mkoa wa Pwani, kwa hisani FULL SHANGWE

No comments:

Post a Comment