Matangazo yanakaribishwa katika blog hii,piga simu no 0753 239 687 Email-livinusferuzi@yahoo.com

Friday, June 29, 2012

RATIBA YA KUKUSANYA MAONI YA KATIBA MPYA KAGERA HII HAPA


Ndugu wadau tume ya mabadiliko ya katiba inaanza kukusanya maoni ya wananchi kuanzia tarehe 2 mwezi wa saba hadi tarehe 30 mwezi wa saba mwaka huu, ambapo tume hiyo itaanza na mikoa minane ambayo ni Tanga, Dodoma, Pwani, Shinyanga, Manyara, Kusini Unguja, Kusini Pemba na Kagera na hii ndio ratiba ya kukusanya maoni ya wananchi kwa mkoa wa Kagera.

Kama inavyoonekana hapo juu tume siku siku ya kuanza sehemu muda na tarehe tuhimizane sote kwa pamoja ili wakazi wa mkoa huu waweze kujitokeza kwa wingi kwa ajili kutoa maoni juu ya tanzania tuitakayo.

No comments:

Post a Comment