Matangazo yanakaribishwa katika blog hii,piga simu no 0753 239 687 Email-livinusferuzi@yahoo.com

Thursday, July 19, 2012

ASKOFU WA KKKT KAGERA NDANI YA IKULU NA RAIS KIKWETE

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Askofu wa kanisa la kilutheri Tanzania dayosisi ya kaskazini magharibi Elisa Buberwa mkoa wa Kagera, ambaye alifika ikulu kumtembelea  jijini Dar es salaam leo July 19, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza  Askofu wa kanisa la kilutheri Tanzania dayosisi ya kaskazini magharibi mkoa wa Kagera Elisa Buberwa , aliyefika kumtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo July 19, 201

No comments:

Post a Comment