Matangazo yanakaribishwa katika blog hii,piga simu no 0753 239 687 Email-livinusferuzi@yahoo.com

Thursday, July 5, 2012

KWA HAPA WANAKAGERA HAIJALISHI WEWE NI NANI NA UNA NINI

Kutoka Itahwa- Bukoba)Haijalishi umevaa suti, kaniki au umefunga tai, linapokuja suala la Lubisi wote wanajumuika. Huyo dingi alikuwa kaulamba kisawasawa, mkanda nje na tai juu lakini mkononi alikuwa na kibuyu kimejaa Lubisi akifyonza taratibu. Sema tu nimekosa position nzuri ya kupata foto lake face to face.








Hizi ni taswira anaoishi Lionel Messi (PICHA ZOTE KWA HISANI YA mjengwablog)

Madam Ritha na salama Jabir wakipiga picha ya pamoja a wafanyakazi wa kampuni ya simu ya zantel nje ya banda la zantel katika viwanja vya sabasaba(chanzo (fullshangweblog.com)

AJAJI WA EPIQ BONGO STAR SEARCH, MADAM RITAH, SALAMA JABIR  NA MASTER J. WAKITOKA KWENYE BANDA LA ZANTEL.(chanzo (fullshangweblog.com)

MASTER J AKIPIGA PICHA MBELE YA TANGAZO LAKE LA EPIQ MOTO (chanzo (fullshangweblog.com)

No comments:

Post a Comment