Matangazo yanakaribishwa katika blog hii,piga simu no 0753 239 687 Email-livinusferuzi@yahoo.com

Monday, July 30, 2012

TUME YA TAIFA TA TAKWIMU YAHITIMISHA MAFUNZO KWA WAANDISHI HABARI NCHINI, JUU YA SENSA YA WATU NA MAKAZI

Ni baada ya kushiriki waandishi wa vyombo binafsi na serikali kutoka mikoa ya kanda ya ziwa na kati ambapo wamejifunza maana ya sense, malengo, faida na jinsi ya kuhesabu ikiwemo kutambua maeneo ya sense.



Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia mada wakati wa mafunzo juu ya sensa ya watu na makazi, mafunzo hayo yaliandaliwa na ofisi ya takwimu ya taifa, Sensa kwa waandishi hao wa habari kutoka mikoa ya kanda ya ziwa na mikoa ya kati imewashirikisha waandishi zaidi ya 150 kutoka vyombo binafsi na vya serikali.


No comments:

Post a Comment