Matangazo yanakaribishwa katika blog hii,piga simu no 0753 239 687 Email-livinusferuzi@yahoo.com

Thursday, July 19, 2012

KUZAMA KWA MELI ZANZIBAR KATIKA MATUKIO LEO

Add caption

Maiti zikihifadhiwa katika viwanja vya Maisara mjini Zanzibar tayari kwa utambuzi wa ndugu na jamaaa.
Majeruhi wakipatiwa Mablangeti kwa ajili ya kujihifadhi baada ya kuokolewa katika meli ya Star Gate iliozama  huko katika bahari ya Chumbe Zanzibar na ikiwa na abiria 250.

Wananchi mbalimbali wakizitambua Maiti zao zilizopatikana katika Ajali ya Meli ya skagit iliozama  hapo jana katika Eneo la karibu na Kisiwa cha Chumbe Zanziba

Baadhi ya wananchi wakiwa katika Foleni ili kwenda kuzitambua Maiti zao katika Viwanja vya Maisara kutokana na  kuzama kwa Meli ya  skagit hapo jana katika Eneo la karibu na Kisiwa cha Chumbe Zanzibar.

No comments:

Post a Comment