Karibu WanaKagera ili tuunganishe nguvu zetu kwa pamoja katika harakati za kujenga Kagera yetu.
Tuesday, July 17, 2012
WAANDISHI KAGERA NA UCHAMBUZI WA BAJETI
Baadhi ya waandishi walioudhuria semina.
Waandishi wa habari walioudhuria semina ya inayohusiana na masuala ya
sera iliyoandaliwa na umoja wa vilabu vya habari nchini (UTPC),
ilifanyika kwenye ukumbi wa mtakatifu Francis ulioko mkoani Kagera
katika manispaa ya Bukoba.
Adam Ndokeji, mwezeshaji wa mafunzo ya siku 4 yaliyoandaliwa na UTPC yanayohusiana na masuala ya sera mbalimbali.
No comments:
Post a Comment