Matangazo yanakaribishwa katika blog hii,piga simu no 0753 239 687 Email-livinusferuzi@yahoo.com

Tuesday, July 3, 2012

WAREMBO MISS VYUO VIKUU TZ WATUA DODOMA BUNGENI KWA AJILI YA KUJIFUNZA


Warembo wanaotarajia kupanda jukwaani kuwania Taji la Miss Vyuo Vikuu 2012, siku ya Ijumaa wiki hii katika Ukumbi wa Maisha Club, wakipozi kwa picha ya pamoja nje ya Ukumbi wa Bunge, wakati warembo hao walipofika kutembelea na kujifunza shughuli za Bunge mjini Dodoma Leo, Julai 03, 2012. Picha zote na Mtandao wa fullshangweblog,

No comments:

Post a Comment