Matangazo yanakaribishwa katika blog hii,piga simu no 0753 239 687 Email-livinusferuzi@yahoo.com

Sunday, July 22, 2012

MKURUGENZI WA MISTU NA NYUKI AHITIMISHA ZIARA YA KIKAZI KAGERA

Ni baadhi ya waandishi wa habari mkoa wa Kagera wawakilishi wa sekta hiyo wakati wa kikao cha Majumuhisho ya ziara ya Dk kilahama katika ukumbi wa mku wa mkoa mjini Bukoba, aliyesimama ni ofisa mistu wa mkoa wa Kagera Jafar omary akitoa maelezo ya kumkaribisha mkurugenzi mkuu.>

No comments:

Post a Comment