Karibu WanaKagera ili tuunganishe nguvu zetu kwa pamoja katika harakati za kujenga Kagera yetu.
Saturday, July 7, 2012
MAISHA BORA YATAPATIKANA KWA NJIA KAMA HIZI
Wananchi katika wilaya ya Mubela wakiuza vitu vidogovidogo kwa ajili ya kujipatia mahitaji yao, lengo likiwa ni katika jitihada zao za kujiletea maendeleo kumbuka maisha bora hawawezi kupatikana na bila kufanya kazi(picha kwa hisani ya Mjengwa)
No comments:
Post a Comment