Matangazo yanakaribishwa katika blog hii,piga simu no 0753 239 687 Email-livinusferuzi@yahoo.com

Sunday, July 22, 2012

MKURUGENZI WA MISTU NA NYUKI AHITIMISHA ZIARA YA KIKAZI KAGERA


Nyoka aina ya Namloos ambaye inadaiwa anapatikana katika hifadhi ya msitu wa Minziro wilayani Missenyi mkoani Kagera, nyoka huyu bado anaendelea kusakwa na serikali ingawa kuna utata mkubwa wa kuwepo au kutokuwepo kwake.

No comments:

Post a Comment