Matangazo yanakaribishwa katika blog hii,piga simu no 0753 239 687 Email-livinusferuzi@yahoo.com

Friday, March 30, 2012

Halmashauri himizeni wananchi kujiunga na CHF

Wadau wa mfuko wa afya ya jamii (NHF) na mfuko wa taifa wa bima ya afya wakifuatilia mada zilizowasilishwa katika mkutamo wa wadau mkoa wa Kagera
Picha ya pamoja ya wadau wa mfuko wa afya ya jamii (NHF) na mfuko wa taifa wa bima ya afya CHIF
Ni mjumbe wa bodi wa wakurugenzi ya NHIF Professa Joseph Shija akitoa maelezo juu ya umuhimu wa viongozi wa mkoa wa Kagera na halmashauri zake kuwahamasisha ili waweze kujiunga na mfuko huo.
 Baada ya kazi ngumu sasa ni mapumziko ni picha ya baadhi ya wanahabari wakiwa wamejipumzisha baada ya kumalizika kwa mkutano wa wadau wa NHIF

No comments:

Post a Comment