Matangazo yanakaribishwa katika blog hii,piga simu no 0753 239 687 Email-livinusferuzi@yahoo.com

Sunday, March 18, 2012

Uwanja wa Kaibata unatisha

Wadau wa michezo afisa afya mmeishafika katika uwanja wa Kaitaba kuona kinachoendelea? Ebooooooo! Kweli unatishi hii ni sehemu ya vyoo vilivyopo katika uwanja huo vinavyotumiwa na watazamaji.
 
Hapa vipi? kwa mtindo huu mchezo wa mpira wa miguu mkoa wa Kagera  unaelekea wapi? Kumbuka uwanja huu ndio unatumiwa na timu ya Kagera sugar kama uwanja wa nyumbani wakati wa michezo yao ya ligi kuu ya Vodacom.


Angalia jukwaa dogo la kukaa watazamaji mbao zimechokaaaa.

No comments:

Post a Comment