Matangazo yanakaribishwa katika blog hii,piga simu no 0753 239 687 Email-livinusferuzi@yahoo.com

Friday, March 16, 2012

Waziri Mathayo ameanza ziara ya kikazi mkoa wa Kagera


Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Dokta Mathayo David Mathayo akipokea taarifa ya mkoa juu ya maendeleo ya mifugo na uvuvi mbele yake anasoma kitabu ni mkuu wa mkoa wa Kagera Kanali mstaafu Fabian Massawe

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Dokta Mathayo David Mathayo akisisitiza jambo baada ya kupokea taarifa ya mkoa
Ofisa

No comments:

Post a Comment