Karibu WanaKagera ili tuunganishe nguvu zetu kwa pamoja katika harakati za kujenga Kagera yetu.
Tuesday, March 20, 2012
Angalia nisidondoke majini, kumbe maji yanaogopesha kiasi hiki!
Waziri Mathayo akishuka kutoka kwenye boti alipanda kwa ajili ya kuangalia nyavu zilizokuwepo kama ni halali, nyuma yake ni wavuvi wakiwa wameshika mtumbwi aliokuwa akitumia wakati wa kushuka ili usimdondoshe majini.
Ofisa mfawidhi wa kikosi cha doria kanda ya Kagera Bw. Rodrick Mahimbali akionyesha nyavu haramu zilizokamatwa na kurundikwa kwenye ofisi ya doria kabla ya kuteketezwa kwa moto katika ni waziri wa maendeleo ya mifugo na uvuvi Dkt. Mathayo Devid Mathayo.
No comments:
Post a Comment