Karibu WanaKagera ili tuunganishe nguvu zetu kwa pamoja katika harakati za kujenga Kagera yetu.
Tuesday, March 27, 2012
Wanafunzi karibu Kagera Press Klabu
Wanafunzi wa shule ya sekondari ya Kabale wakipatiwa maelezo juu ya utandawazi kutoka kwa waandishi wa habari mkoa wa Kagera wanafunzi hao walifika katika ofisi za chama cha waandishi wa habari mkoa wa Kagera kwa ajili ya kujifunza mambo mbalimbali
Mwandishi wa habari wa gazeti la Tanzania Daima Bw. Antidius Kalunde wakiwaeleza jambo wanafunzi wa shule ya sekondari ya Kabale
No comments:
Post a Comment