Wadau wa mfuko wa afya ya jamii (NHF) na mfuko wa taifa wa bima ya afya wakifuatilia mada zilizowasilishwa katika mkutamo wa wadau mkoa wa Kagera |
Picha ya pamoja ya wadau wa mfuko wa afya ya jamii (NHF) na mfuko wa taifa wa bima ya afya CHIF |
Ni mjumbe wa bodi wa wakurugenzi ya NHIF Professa Joseph Shija akitoa maelezo juu ya umuhimu wa viongozi wa mkoa wa Kagera na halmashauri zake kuwahamasisha ili waweze kujiunga na mfuko huo. |
No comments:
Post a Comment