Wanafunzi wa shule ya sekondari ya Ijuganyodo na Kashai wakizunguka maeneo mbalimbali ya mjini Bukoba wakionyesha kikombe walichopata baada ya kumalizika mchezo wa fainali baina ya Kashai na Ijuganyondo wakati wa kombe la Rotary club,
Shule ya sekondari ya Ijuganyondo imeshika nafasi ya kwanza na kufanikiwa kuchukua kikombe, huku Kashai wakishika nafasi ya pili.
No comments:
Post a Comment