Matangazo yanakaribishwa katika blog hii,piga simu no 0753 239 687 Email-livinusferuzi@yahoo.com

Saturday, March 31, 2012

Rais Kikwete akabidhi zawadi kwa mshindi wa jumla katika umahiri wa habari 2011

Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi Nevile Meena cheti cha ushindi wa jumla katika tuzo za umahiri wa habari 2011 mara baada ya kutangazwa rasmi.picha kwa hisani ya Mjengwa

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Kampuni ya bia ya Serengeti (SBL) Teddy Mapunda akikabidhi tuzo kwa mwandishi wa habari wa Mlimani Radio Tuma Dandi mshindi wa habari za watu wenye ulemavu- Redio. Picha kwa hisani ya Mjengwa

No comments:

Post a Comment