Matangazo yanakaribishwa katika blog hii,piga simu no 0753 239 687 Email-livinusferuzi@yahoo.com

Thursday, March 1, 2012

Baadhi ya waandishi wa habari mkoa wa Kagera wakiangalia mlemavu wa viungo aliyejitambulisha kwa jina la Elias Zacharia jumla ya waandishi 19 kutoka mkoa wa Kagera walitembelea nyumba ya makumbusho il;iyopo eneo la Nyamukazi ikiwa ni sehemu ya mafunzo ya kuripoti habari kwa njia ya mtandao


Ni Elias Zacharia ambaye ni mlemavu wa viungo akionyesha jinsi ya kutengeneza ngoma, walemavu wanejiari katika shughuli za mikono wakiwa na lengo la kujiinua kiuchumu badala ya kutegemea kuombaomba.

No comments:

Post a Comment