Karibu WanaKagera ili tuunganishe nguvu zetu kwa pamoja katika harakati za kujenga Kagera yetu.
Friday, March 16, 2012
Waziri Mathayo ameanza ziara ya kikazi mkoa wa Kagera
Waziri wa Maendeleo
ya Mifugo na Uvuvi Dokta Mathayo David Mathayo akipokea taarifa ya mkoa juu ya maendeleo ya mifugo na uvuvi mbele yake anasoma kitabu ni mkuu wa mkoa wa Kagera Kanali mstaafu Fabian Massawe
Waziri wa Maendeleo
ya Mifugo na Uvuvi Dokta Mathayo David Mathayo akisisitiza jambo baada ya kupokea taarifa ya mkoa
No comments:
Post a Comment