Matangazo yanakaribishwa katika blog hii,piga simu no 0753 239 687 Email-livinusferuzi@yahoo.com

Saturday, May 18, 2013

ABIRIA KITUO CHA MABASI MULEBA


Abiria katika stendi ya mabasi Muleba wakiwa wamepumzika nje ya vibanda, wakisubiri usafiri kwa ajili ya kuelekea sehemu mbalimbali, wakati wa jua kali na mvua mara nyingi abiria huwa wanapata shinda kutokana na kukosa sehemu za kupumzikia.


Abiria wakiwa wamejiandaa kwa ajili ya safari.


No comments:

Post a Comment