TUNABADILISHANA MAWAZO.
![]() |
| Wanafunzi wa shule ya sekondari A.KA Vijana wa facebook na Twitter wakijifunza jinsi ya kutumia kompyuta zilizounganishwa katika mtandao. |
![]() |
| Mimi mwenyewe naweza kutumia kompyuta bila msaada wa mtu. |
![]() |
| Wakazi wa kata ya Buhembe wakibadilishana mawazo nje ya ofisi ya kata, kama walivyokutwa na kamera yetu. |



No comments:
Post a Comment