Matangazo yanakaribishwa katika blog hii,piga simu no 0753 239 687 Email-livinusferuzi@yahoo.com

Wednesday, May 1, 2013

MEI MOS KAGERA


Wafanyakazi mkoa wa Kagera wakifurahia jambo wakati wa sherehe ya siku ya wafanyakazi

Wafanyakazi wakiwa katika maandamano kuelekea uwanja wa kaitaba maandamano hayo yaliongozwa na askari hata hivyo maandamano hayo yaliathiriwa mvua iliyokuwa inanyesha.

wafanyakazi wakiwa katika maandamano huku mvua ikiendelea kunyesha

haya nayo pia yalikuwepo

maandamano ya wafanyakazi na mabango yenye ujumbe mbalimbaliBaadhi ya wafanyakazi wakifuatilia hotuba mbalimbali za viongozi wao

msafara wa magari kutoka katika taasisi mbalimbali za serikali na binafsi yakielekea uwanja wa kaitaba.


No comments:

Post a Comment