Matangazo yanakaribishwa katika blog hii,piga simu no 0753 239 687 Email-livinusferuzi@yahoo.com

Tuesday, May 14, 2013

KIPINDI KIGUMU CHA USAFIRI WA MAJINI

Ziwa victoria likiwa limechafuka, kipindi kama hiki usafiri wa majini hususan wa kutumia mitumbwi na boti sio mzuri kutokana na kuwepo kwa upepo ambao unahatarisha usalama wa wasafiri.

Mwonekano wa bandari ya bukoba, mara nyingi siku ambazo hakuna meli shughuli za hapa na pale huwa ni kidogo tofauti na siku za meli.

Mwonekano wa bandari ya bukoba, mara nyingi siku ambazo hakuna meli shughuli za hapa na pale huwa ni kidogo tofauti na siku za meli.

No comments:

Post a Comment