Wananchi wakivuka maji kutoka katika nyumba zao zilizozingirwa na maji baada ya maji ya kuonekana kupunga wananchi kabla ya kutoka kweye nyumba hizo walikuwa wamepanda juu ya nyumba na kwenye miti.
Nyumba zikiwa katikati ya maji katika mtaa wa Omukigusha, wakazi wa nyumba hizo wamelazima kuziama nyumba zao, ambapo baadhi yao wameshuhudiwa wakihamisha mizigo yao. |
Vibanda wa wafanyabiashara wa nguo katika daraja la mto Kanoni vikiwa vimefunikwa maji. |
Magari yaliyokuwa yameegeshwa karibu ya mashine ya kusaga unga yakiwa yameelea juu ya maji baada ya mto kanoni kujaa maji. |
Wananchi wakivuka maji kutoka katika nyumba zao zilizozingirwa na maji baada ya maji ya kuonekana kupunga wananchi kabla ya kutoka kweye nyumba hizo walikuwa wamepanda juu ya nyumba na kwenye miti.
Mto Kanoni ukiwa umefurika maji kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha. |
Wanaangalia jinsi ya kuvuka kutoka katika makazi yao baada ya kujaa maji |
Wananchi wakishuhudia mafuriko jinsi yalivyoathiri nyumba na mali mbalimbali katika eneo la Omukigusha manispaa ya Bukoba. |
Mkaa uliokuwa unauzwa ukiwa katikati ya maji |
Vibanda ya wafanyabaishara daraja la Buyekera vikiwa vimezingirwa na maji, huku baadhi ya nguo zikionekana kuning'iania |
No comments:
Post a Comment