Matangazo yanakaribishwa katika blog hii,piga simu no 0753 239 687 Email-livinusferuzi@yahoo.com

Saturday, May 11, 2013

HAPA NI ASILI TU..., KARIBU WATEJA.....






Mizigo ya nyasi za kutandaza ndani ya nyumba zikiwa kandokando mwa barabara  eneo la Kagondo wilayani Muleba nyasi hizo zinauzwa kwa ajili ya kutandazwa ndani ya nyumba hususan maeneo ya vijijini kwa ajili ya kukaliwa kama ilivyo tamaduni ya wakazi wengi wa mkoa wa Kagera .


Mwonekano wa migomba ambayo imeanza kuathiriwa na ugonjwa wa mnyauko bacteri, ugonjwa huo umesababisha upatikanaji wa ndizi kuwa shida.


No comments:

Post a Comment