Matangazo yanakaribishwa katika blog hii,piga simu no 0753 239 687 Email-livinusferuzi@yahoo.com

Sunday, May 5, 2013

BREAKING NEWS ...KUMETOKEA MLIPUKO KANISA

Hali inakuwa tete katika nchi yetu Kanisani Parokia ya Olasit kumetokea mlipuko haijajulikana kama ni bomu au la ila watu wamejeruhiwa. palikuwa na ugeni(balozi)kutoka Vatican alikuja kuzindua kama mgeni rasmi,majeruhi ni wengi ila vifo bado havijathibitishwa mpaka sasa hivi.Ni eneo la Olasiti kwa wakaazi wa Arusha au wanaoifahamu Arusha,radio Maria wanatoa taarifa kila mara. chanzo ni jamiiforums.

No comments:

Post a Comment